Swahili Leaflet 2002 
TEGA UCHUMI KATIKA KUTUNZA, SIO KUUA!!

Simamisha ba kuibadili dunia!

 
  • 2.Dola milioni mia nane(800) hutumika katika bajeti za majeshi duniani kote.
  • Dola bilioni themanini(80) zingeweza kukidhi mahitaji muhimu ya maisha kama maji safi, mfumo wa maji-taka, afya, lishe, elimu na kipato cha chini.

20001englogo.gif (12887 bytes)

Tujiunge sasa kwa

MGOMO WA WANAWAKE WA DUNIA wa pili.

Tarehe 8 Machi 2001.

Siku ya Kimataifa ya Wanawake

Mgomo wa kuleta:

DUNIA AMB" AYO INATHAMINI YA KAZI ZA WANAWAKE NA WOTE, MWISHO WA KUTOLIPWA, MALIPO YA CHINI NA KAZI NYINGI KUPITA KIASI.

Katika Siku ya Kimataifa ya Wanawake mwaka 2000, wanawake walio na wasio na mishaharakatika nchi 65 walijiunga kwa mara ya kwanza na Mgomo wa Dunia ulioitishwa na kuratibiwa na Kampeni ya Kimataifa ya Kazi za Nyumbani.

9.Tarehe 8 Machi 2001, wanawake na wasichana watagoma tena WAKIDAI JAMII ZAO ZIWEKEZE KATIKA KUSTAWISHA MAISHA YA KILA MTU kuliko kuharibuwatu na mazingira kwa manufaa ya wachache.

"Kama mwanamke, nchi yangu ndio dunia nzima."

 

WANAWAKE NA WASICHANA HUFANYA THELUTHI MBILI(2/3) YA KAZI ZOTE DUNIANI KWA ASILIMIA TANO(5%)YA MALIPO,                 THELUTHIMBILI YA KAZI HII HAILIPWI.

Watu kila mahali wanadai mabadiliko makubwa katika vipaumbele. Wanawake na wasichana hufanya kazi ya kuzaa, kunyonyesha na kulea dunia nzima. Lakini kazi hii muhimu ya kudumisha uhai na jamii haithaminiwi na wale wanaoifanya wanadharauliwa. Kuushinda huu ubaguzi wa kijinsia wanawake wanahimizwa kushindana na wanaume na pia wao kwa wao. Hivyo, tunaishia kuwa na kazi nyingi, malipo ya chini na tumegawanyika- hii ikiwa ni katika uhamiaji ambako wanalinda mishahara midogo pamoja na hali mbaya zaidi ya kufanyia kazi kuliko kote duniani. Mashirika yanadai kumiliki "genes" na mbegu ili Soko la Dunia liweze kutumikisha na hata kuchukua nafasi yetu huku yakitishia uhai na sayari yetu kwa ujumla.

Dunia ianzayo na mahitaji ya watu na siyo kushiriki ubinafsi- dunia bila ubaguzi wa kijinsia, rangi, umri au ubaguzi WOWOTE- lazima dunia iweke vipaumbele. ijali kazi, ithamini uzoefu wa wale wanaoifanya na iwasisitizie wanaume na wavulana wajali mambo haya pia.

Wakati wanawake lazima wawe na haki ya kutoa mimba, lazima pia waweze kupata watoto wanaowataka, kuwanyonyesha tukipenda na kuwa na muda nao na wengine tuwapendao na kuwajali.

Tumechoshwa na kuambiwa kuwa ni lazima tukubali Soko la Dunia.

MADAI YA MGOMO WA WANAWAKE WA DUNIA

Ukurasa wa nyumbani (homepage)

home 2001

home 2002

Wasiliana nasi (contact us)        Kampeni ya Kimataifa ya Mishahara kwa kazi za Nyumbani.                                                                             Kituo Cha Wanawake Njiapanda